Fasihi ya Kiswahili: Urithi na Ubunifu wa Kisasa

  • Dr. Mohamed Younes Khalifa Daw Associate Professor, Department of African Languages, Faculty of Languages, University of Sebha
  • Saad bouazoum mehimd ali Assistant Professor, Department of Languages and African Studies – Faculty of Languages, University of Sebha

الملخص

Ikisiri

Fasihi simulizi ni fasihi inayotolewa au kusimuliwa kwa njia ya mdomo. Hii ni fasihi ya mwanzo kabisa katika historia ya mwanadamu. Fasihi hii ilianza pale tu mwanadamu alipoanza kufanya kazi akiwa na azma ya kuyatawala maisha yake. Nyimbo ni kipera cha mwanzo kabisa mwanadamu kukitumia. Nyimbo ziliimbwa kwa lengo la kuhamasisha utendaji kazi, kujiburudisha na hata kuonesha huzuni katika jamii.

Fasihi simulizi ina vipera vyake muhimu katika jamii. Taarab ikiwa ni kipera cha fasihi simulizi ina jukumu la kuelimisha, kuburudisha na kuhuzunisha kupitia mashairi yake.

 

المستخلص:

الأدب الشفهي هو الأدب الذي يُنقل أو يُروى شفهيًا. وهو أقدم أشكال الأدب في تاريخ البشرية. بدأ هذا الأدب عندما شرع الإنسان في العمل بهدف التحكم في حياته. تُعد الأغاني أقدم أشكال التعبير التي استخدمها الإنسان. كانت الأغاني تُغنى بهدف تحفيز العمل، والتسلية، وحتى التعبير عن الحزن في المجتمع.

للأدب الشفهي أدوار مهمة في المجتمع. فالطَرب، كونه أحد أشكال الأدب الشفهي، له دور في التثقيف والترفيه والتعبير عن الحزن من خلال قصائده.

التنزيلات

بيانات التنزيل غير متوفرة بعد.
منشور
2025-12-31
كيفية الاقتباس
Khalifa Daw, D. M. Y., & ali, S. bouazoum mehimd. (2025). Fasihi ya Kiswahili: Urithi na Ubunifu wa Kisasa. الجامعي, (42). استرجع في من http://aljameai.org.ly/index.php/aljameai/article/view/1022
القسم
مقالات باللغة الانجليزية