Matatizo yanayowakabili wanafunzi wa Libya katika kujifunza vitenzi vya tamko la Kiswahili
Abstract
Ikisiri
Utafiti huu umelenga kuonyesha mojawapo ya matatizo yanayowakabili wanafunzi wetu walibya wanaojifunza Kiswahili, na lengu kuu la utafiti huu ni kuonyesha undani wa tatizo hili na jinsi linavyoweza kutatuliwa ili kuwasaidia hasa wanafunzi kumudu vizuri masuala ya kisarufi ya Kiswahili sanifu wakati wanajifunza, pia yatawasaidia walimu wa lugha ya Kiswahili kujua shida zinazowakabili wanafunzi wao na jinsi ya kukabiliana nazo na kufundisha wanafunzi njia za kuelewa misingi ya kisarufi ya lugha hii kwa ufanisi wa juu.
المستخلص:
يهدف هذا البحث الى تسليط الضوء على احدى المشكلات التي يواجهها الطلبة الليبيين الذين يتعلمون اللغة السواحيلية وقواعدها ويركز البحث حول الصعوبات التي تواجه الطلبة في استخدام علامات الاستفهام واظهار عمق هذه المشكلة وكيفية حلها لمساعدة الطلاب على إجادة وفهم علم الصرف كما سيساعد معلمي اللغة السواحيلية على معرفة المشاكل التي تواجه طلابهم وكيفية التعامل معها وتعليمهم القواعد النحوية بكفاءة عالية.
Downloads






